Mwanamke akutwa ndani ya chemba (sewage) ya
Mkazi/Mfanyabiashara Mchagga wa Kibamba aliyejulikana kwa jina la Mtei.
Amefikaje? Haikufahamika ila walisikika wananchi wakisema ni msukule.
Njia hizi za kupata pesa kinyama sio nzuri ikizingatiwa kuwa ubinadamu ni zawadi toka kwa Mungu na wote tu sawa tofauti ya kipato ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Video:https://www.facebook.com/100003865677537/videos/623034221168761/
Akana ushahidi wa picha na vingine kama ilivyoonyeshwa, hatuta ingilia ila si sawa na si tabia nzuri.....
PICHA NYINGINE ZIMEHIFADHIWA KWA KULINDA UTU
Video:https://www.facebook.com/100003865677537/videos/623034221168761/
MTOTO WA MWENYE NYUMBA AKANA.
Kuna picha zinasambaa na ujumbe unaosema kuwa nyumba
iliyoko eneo la Kibamba ya mfanyabiashara Mchagga Mtei wa mabasi
imekutwa na msukule, naomba kukanusha uvumi huo kwa niaba ya familia.
Mtei wa mabasi hana nyumba Dar es salaam wala hana mtoto yoyote anaeishi
Dar es salaam. Hatuelewi ni kwanini wameamua kusambaza uvumi huo iwe
kwa sababu ya biashara au kuchafulia ukoo jina, tungeomba mchunguze
vizuri habari hizo na pia source ya habari hiyo kama Ni reliable. Mimi
Ni ndugu na mjukuu pekee wa mzee Nderasio Mtei (Mtei wa mabasi)
ninayeishi Dar es salaam.
Haika Mtei
No comments:
Post a Comment