Saturday, January 30, 2016
Gumzo mitandaoni>>>> Rais wa marekani barak Obama Kukimbia kuwahi ndege yake baada ya kutumia muda wake vibaya....
Habari zilizogonga vichwa vya habari duniani ni tukio la Rais wa
marekani barak Obama Kukimbia mbio kuwahi ndege baada ya kutumia muda
wake vibaya, na kwa mujibu wa taarifa toka state zinasema muda wa ndege
ya Rais unapowadia basi huondoka bila kujali Rais yupo au hayupo kwa
ajili ya usalama.
Monday, January 25, 2016
SPIKA WA BUNGE AREJEA KUTOKA INDIA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Job Ndugai amerejea kutoka nchini India alikokuwa akifanyiwa uchunguzi wa kimatibabu.
Mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Mheshimiwa Ndugai alisema kwa sasa afya yake iko imara kabisa na anaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu na Madaktari waliokuwa wakimfanyia uchunguzi Nchini India.
Mhe. Ndugai pia amewashukuru watanzania wote kwa dua na sala zao katika kipindi alichokuwa India ambazo zimemuwezesha kuimarika kwa afya yake na hatimaye kurejea nchini salama.
Mbali na kutoa shukrani hizo Mheshimiwa Ndugai pia amewatakia Watanzania wote kheri na nafaka ya sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.
Sambamba na hilo Mhe Ndugai amewakumbusha pia Waheshimiwa Wabunge kujiandaa na shughuli za Bunge ambazo zinatarajia kuanza hivi karibuni.
Katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere Mhe. Ndugai alilakiwa na Naibu Spika wa Bunge Mhe. Dkt Tulia Ackson ambaye aliambatana na Viongozi wengine wa kitaifa akiwemo Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Merdad Kaleman, Naibu Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura, Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema na Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah.
SOURCE: http://www.parliament.go.tz/news/spika-wa-bunge-arejea-kutoka-india
Bunge Jipya lanoga... Mitazamo tofauti yaibuka.. SOMA HAPA KUPATA MITAZAMO TOFAUTI ILIOTOLEWA MITAANI..
Kesho wabunge wanarudi bungeni kujadili mambo mbalimbali ikiwa ni bunge jipya kabisa chini ya Spika Mheshimiwa Job Ndugai na Dk. Tulia, Wananchi wengi wakiwa na matizamo tofauti
kuhusu bunge jipya kutokana na mabadiliko mbali mbali yaliyotokea ndani ya
bunge hilo kutoka lililo pita.
Wengi wamekuwa na mitazamo tofauti wengi wakiwa
wanamategemeo kuwa litakuwa na upinzani
mkubwa kutokana na upinzani kuongezeka maradufu, wengine wakipendekeza sheria
dhidi ya wabunge na wazembe ziwekwe uzembe huo ulitajwa kuwa ni kulala, kushikana
mashati na kujibizana matusi, huku wengine wakisema wanategemea kilekile maana
wakina “hela ya Mboga ndio walewale wameingia” hii ni mitazamo tofauti
iliotolewa vijiweni siku ya leo ikiwa ni njia mojawapo ya kupata maoni ya
wananchi juu ya bunge jipya.
Sunday, January 24, 2016
Hotuba ya Raisi John Pombe Magufuli.... KUIPATA YOTE SOMA HAPA>>>>>>
Hotuba ya Raisi John Pombe Magufuli bado Kitendawili....
Sasa yapata zaidi ya miezi miwili tokea Raisi wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli kuapishwa kuwa Eaisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wananchi wa Tanzania wamekuwa wakifuatilia kwa makini uongozi mpya huku wakiunga mikono jitihada mbalimbali zinazofanywa na viongozi wetu katika kuinuaa jamii yetu, na huku wengine kama sisi tukisubiri kwa hamu hotuba ya raisi wetu, huku tukitegemea itapagwa kama hotuba ile ya Bunge au zaidi.
Labda tunaishi kwa Mazoea ya Raisi mstaafu, na inaweza kuwa ni sahihi Raisi kuto hutubia wananchi kwa zaidi ya kipindi cha miezi miwili lakini ni muhimu wananchi kujua mipango ya Raisi katika serikali na kuangalia matazamio ya baadae. Huu ni ushauri wangu(Kubwa lao) kuwa Raisi ajipange na atoe hotuba tujue mikakati tunayotakiwa kuiunga mkono, inaweza isiwe kila mwezi ila hata baada ya miezi mitatu itapendeza maana si sahihi kila mwezi hotuba itolewe bila kufanyika chochote.
Ni Mtazamo tu...
Saturday, January 23, 2016
Simu ya Raisi yawa gumzo mitandaoni..... Wengi wahusisha na utani wa lile kabilaa... Unajua ni lipi...
Raisi Dk. John Pombe Magufuli ameonekana kujali taifa kuliko yeye baada ya kuonekana akishona nguo yake mwenyewe na pia akijitadi kupunguza wafanyakazi na hata kutumia karatasi za daftari katika nyaraka zake mbali mbali.
Hii imepelekea kumuhusisha na utani wa makabila, pia utumiaji wake wasimu na kushona nguo pina nao umehusika. Utani huu sio kwa dharau na kejeli ila ni utani wa kujenga na kuonyesha upendo kwa raisi wetu baada ya kutuonyesha kuwa hajajilimbikizia.
kaza Buti Raisi wetu.
Hapa kazi tu...
Friday, January 22, 2016
Mshabiki maarufu wa Yanga maarufu kama "Ally Yanga" apata ajali.... SOMA HAPA kwa Maelezo zaidi....
Wakati Yanga ikiibuka na ushindi wa bao 5-0, magoli yaliofungwa na Thabani Kamusoko, Donald Ngoma na Amis Tambwe alieibuka shujaa kwenye mchezo huo baada ya kufunga goli tatu (hat-trick) na kuipeleka Yanga kileleni mwa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.
Hali si shwari kwa Mshabiki Mkubwa na maarufu wa Yanga ajulikanae kama "Ally Yanga" ambae katika safari yake ya kwenda kupumzika kwake huku akiwa na furaha ya Ushindi alipata ajali ya Pikipiki usiku wa kuamkia leo, na kukimbizwa hospitali. Hili ni pigo kwa wachezaji na mashabiki wenzake..
Mungu amsaidie..
Thursday, January 21, 2016
Msukule Dar... Mfanyabiashara Dar akutwa na Msukule... Picha zote na video hapa.....
Mwanamke akutwa ndani ya chemba (sewage) ya
Mkazi/Mfanyabiashara Mchagga wa Kibamba aliyejulikana kwa jina la Mtei.
Amefikaje? Haikufahamika ila walisikika wananchi wakisema ni msukule.
Njia hizi za kupata pesa kinyama sio nzuri ikizingatiwa kuwa ubinadamu ni zawadi toka kwa Mungu na wote tu sawa tofauti ya kipato ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Video:https://www.facebook.com/100003865677537/videos/623034221168761/
Akana ushahidi wa picha na vingine kama ilivyoonyeshwa, hatuta ingilia ila si sawa na si tabia nzuri.....
PICHA NYINGINE ZIMEHIFADHIWA KWA KULINDA UTU
Video:https://www.facebook.com/100003865677537/videos/623034221168761/
MTOTO WA MWENYE NYUMBA AKANA.
Kuna picha zinasambaa na ujumbe unaosema kuwa nyumba
iliyoko eneo la Kibamba ya mfanyabiashara Mchagga Mtei wa mabasi
imekutwa na msukule, naomba kukanusha uvumi huo kwa niaba ya familia.
Mtei wa mabasi hana nyumba Dar es salaam wala hana mtoto yoyote anaeishi
Dar es salaam. Hatuelewi ni kwanini wameamua kusambaza uvumi huo iwe
kwa sababu ya biashara au kuchafulia ukoo jina, tungeomba mchunguze
vizuri habari hizo na pia source ya habari hiyo kama Ni reliable. Mimi
Ni ndugu na mjukuu pekee wa mzee Nderasio Mtei (Mtei wa mabasi)
ninayeishi Dar es salaam.
Haika Mtei
Tuesday, January 19, 2016
The 20 Most Successful Football Managers of All Time
20. Pep Guardiola
Barcelona
La Liga: 2009, 2010, 2011 (3)
Copa del Rey: 2009, 2012 (2)
UEFA Champions League: 2009, 2011 (2)
FIFA Club World Cup: 2009,c 2011 (2)
Bayern Munich
Bundesliga: 2014
DFB Pokal: 2014
FIFA Club World Cup: 2013
TOTAL: 12
19. Albert Batteux
Stade de Raim
Ligue 1: 1953, 1955, 1958, 1960, 1962 (5)
Coupe de France: 1958
Saint-รtienne
Ligue 1: 1967, 1968, 1969, 1970 (4)
Coupe de France: 1968, 1970 (2)
18. Guus Hiddink
PSV Eindhoven
Eredivisie: 1987, 1988, 1989, 2003, 2005,
2006 (6)
KNVB Cup: 1988, 1989, 1990, 2005 (4)
European Cup: 1988
Chelsea
FA Cup: 2009
TOTAL: 12
17. Louis van Gaal
Ajax Amsterdam
Eredivisie: 1994, 1995, 1996 (3)
KNVB Cup: 1993
Champions League: 1995
UEFA Cup: 1992
Barcelona
La Liga: 1998, 1999 (2)
Copa del Rey: 1998
AZ
Eredivisie: 2009
Bayern Munich
Bundesliga: 2010
DFB Pokal: 2010
TOTAL: 12
16. Helenio Herrera
Atletico Madrid
La Liga: 1950, 1951 (2)
Barcelona
La Liga: 1959, 1960 (2)
Copa del Rey: 1959, 1981 (2)
Internazionale
Serie A: 1963, 1965, 1966 (3)
European Cup: 1964, 1965 (2)
Roma
Coppa Italia: 1969
TOTAL: 12
15. Rinus Michels
Ajax Amsterdam
Eredivisie: 1966, 1967, 1968, 1970 (4)
KNVB Cup: 1967, 1970, 1971 (3)
European Cup: 1971
Barcelona
La Liga: 1974
Copa del Rey: 1978
FC Kรถln
DFB Pokal: 1983
Netherlands
European Championship: 1988
TOTAL: 12
14. Tomislav Ivic
Hadjuk Split
Yugoslav First League: 1974, 1975, 1979
(3)
Yugoslav Cup: 1972, 1973, 1974, 1976 (4)
Ajax Amsterdam
Eredivisie: 1977
Anderlecht
Belgian Pro League: 1981
Panathinaikos
Alpha Ethniki (Greek league): 1986
FC Porto
Portuguese Primeira Liga: 1988
Taรงa de Portugal: 1988
Atletico Madrid
Copa del Rey: 1991
TOTAL: 13
13. Marcelo Lippi
Juventus
Serie A: 1995, 1997, 1998, 2002, 2003 (5)
Coppa Italia: 1995
UEFA Champions League: 1996
Italy
World Cup: 2006
Guangzhou Evergrande
Chinese Super League: 2012, 2013, 2014
(3)
Chinese FA Cup: 2012
AFC Champions League: 2013
TOTAL: 13
12. Bob Paisley
Liverpool
Football League First Division: 1976,
1977, 1979, 1980, 1982, 1983 (6)
League Cup: 1981, 1982, 1983 (3)
UEFA Cup: 1976
European Cup: 1977, 1978, 1981 (3)
TOTAL: 13
11. Ernst Happel
ADO Den Haag
KNVB Cup: 1968
Feyenoord
Eredivisie: 1971
European Cup: 1970
Club Brugge
Pro League: 1976, 1977, 1978 (3)
Belgian Cup: 1977
Standard Liege
Belgian Cup: 1981
Hamburger SV
Bundesliga: 1982, 1983 (2)
DFB Pokal: 1987
European Cup: 1983
FC Swarovski Tirol
Austrian Bundesliga: 1989, 1990 (2)
Austrian Cup: 1989
TOTAL: 14
10. Miguel Muรฑoz
Real Madrid
La Liga: 1961, 1962, 1963, 1964, 1965,
1967, 1968, 1969, 1972 (9)
Copa del Rey: 1962, 1970, 1974 (3)
European Cup: 1960, 1966 (2)
TOTAL: 14
9. Udo Lattek
Bayern Munich
Bundesliga: 1972, 1973, 1974, 1985, 1986,
1987 (6)
DFB Pokal: 1971, 1984, 1986 (3)
European Cup: 1974
Borussia Mรถnchengladbach
Bundesliga: 1967, 1977 (2)
UEFA Cup: 1979
Barcelona
UEFA Cup Winners’ Cup: 1982
Copa de la Liga: 1983
TOTAL: 15
8. Ottmar Hitzfeld
FC Aarau
Swiss Cup: 1985
Grasshopper
Swiss Super League: 1990, 1991 (2)
Swiss Cup: 1989, 1990 (2)
Borussia Dortmund
Bundesliga: 1995, 1996 (2)
UEFA Champions League: 1997
Bayern Munich
Bundesliga: 1999, 2000, 2001, 2003, 2008
(5)
DFB Pokal: 2000, 2003, 2008 (3)
UEF Champions League 2001
TOTAL: 17
7. Jose Mourinho
FC Porto
Primeira Liga: 2003, 2004 (2)
Taรงa de Portugal: 2003
UEFA Cup: 2003
UEFA Champions League: 2004
Chelsea
Premier League: 2005, 2006, 2015 (3)
FA Cup 2007
Football League Cup: 2005, 2007, 2015 (3)
Internazionale
Serie A: 2009, 2010 (2)
Coppa Italia: 2010
UEFA Champions League: 2010
Real Madrid
La Liga: 2012
Copa del Rey: 2011
TOTAL: 18
6. Giovanni Trapattoni
Juventus
Serie A: 1977, 1978, 1981, 1982, 1984,
1986 (6)
Coppa Italia: 1979, 1983 (2)
European Cup: 1985
UEFA Cup: 1977, 1993 (2)
UEFA Cup Winners’ Cup: 1984
Internazionale
Serie A: 1989
UEFA Cup: 1991
Bayern Munich
Bundesliga: 1997
DFB Pokal: 1998
Benfica
Primeira Liga: 2005
Red Bull Salzburg
Austrian Bundesliga: 2007
TOTAL: 18
5. Walter Smith
Rangers
Scottish Premier League: 1991, 1992,
1993, 1994, 1995, 1996, 1997, 2009, 2010,
2011 (10)
Scottish Cup: 1992, 1993, 1996, 2008, 2009
(5)
Scottish League Cup: 1993, 1994, 1997,
2008, 2010, 2011 (6)
TOTAL: 21
4. Mircea Lucescu
Dinamo Bucureลti
Liga I: 1990
Cupa Romรขniei: 1986, 1990 (2)
Rapid Bucureลti
Liga I: 1999
Cupa Romรขniei: 1998
Galatasaray
Sรผper Lig: 2002
Beลiktaล
Sรผper Lig: 2003
Shakhtar Donetsk
Ukrainian Premier League: 2005, 2006,
2008, 2010, 2011, 2012, 2013, 2014 (8)
Ukrainian Cup: 2004, 2008, 2011, 2012,
2013 (5)
UEFA Cup: 2009
TOTAL: 21
3. Valeriy Lobanovskyi
Dynamo Kyiv
Soviet Top League: 1974, 1975, 1977,
1980, 1981, 1985, 1986, 1990 (8)
Ukrainian Premier League: 1997, 1998,
1999, 2000, 2001 (5)
Soviet Cup: 1974, 1978, 1982, 1985, 1987,
1990 (6)
Ukrainian Cup: 1998, 1999, 2000 (3)
UEFA Cup Winners’ Cup: 1975, 1986 (2)
TOTAL: 24
2. Jock Stein
Celtic
Scottish First Division: 1966, 1967, 1968,
1969, 1970, 1971, 1972, 1973, 1974, 1977
(10)
Scottish Cup: 1965, 1967, 1969, 1971,
1972, 1974, 1975, 1977 (8)
Scottish League Cup: 1966, 1967, 1968,
1969, 1970, 1975 (6)
European Cup: 1967
TOTAL: 25
1. Sir Alex Ferguson
Aberdeen
Scottish Premier Division: 1980, 1984,
1985 (3)
Scottish Cup: 1982, 1983, 1984, 1986 (4)
Scottish League Cup: 1986
UEFA Cup Winners’ Cup: 1983
Manchester United
Premier League: 1993, 1994, 1996, 1997,
1999, 2000, 2001, 2003, 2007, 2008, 2009,
2011, 2013 (13)
FA Cup: 1990, 1994, 1996, 1999, 2004 (5)
Football League Cup: 1992, 2006, 2009,
2010 (4)
UEFA Cup Winners’ Cup: 1991
UEFA Champions League: 1999, 2008 (2)
TOTAL: 34
FIFA Club World[truncated by WhatsApp]
Saturday, January 16, 2016
DARASA LA ALAMA MBALIMBALI ZA MOBILE NETWORKS
Terminologies 2G, 3G, H, H+ au E etc, je maana yake ni nini kwenye network?
Ni speed zinazotumika kusafirisha data kwenye internet ambapo zinatofautiana uwezo kutokana na teknolojia:
1. Letter G stands for GPRS (General Packet Radio Service) na ndio first generation ya mobile phone
Hua inamaanisha spidi ya internet yako ni ndogo sana (86kbps)
technology.Hua inamaanisha spidi ya internet yako ni ndogo sana (86kbps)
2. Letter E stands for EDGE (Enhanced Data Rates for GSM
evolution) hua inamaanisha speed ya internet yako ni ndogo ila ina
afadhali kidogo kuliko G (236kbps)
3. Letter 2G (Second Generation)
Ni generation ya pili ya mobile phone technology ambayo nayo inatumia
GPRS system lakini speed yake ni kubwa kidogo than letter G, (154kbps)
ila ni ndogo than letter E yaani ipo katikati ya G na E.
4. Letter 3G (Third Generation of mobile technology)
Inatumia UMTS & imebase kwenye GSM system, na ina speed kubwa kuliko hizo (speed yake 386kbps)
5. Letter H stands for HSPA (High Speed Packet Access)
Ni muendelezo baada ya 3G ambayo ina speed kubwa (like 3.2 Mbps)
6. Letter H+ stands for enhanced HSPA, Yaani hii ina speed
kubwa zaidi ya H kama nilivyoielezea inauwezo wa kutransfer data up to
7.2 Mbps, ndio inayotumika kwenye simu nyingi nowadays.
7. Letter 4G (Fourth Generation of Mobile phone Technology) pia inajulikana kwa jina la LTE (Long Term Evolution).
Model hii ndio current kwa sasa ambayo inatumia H+, so itakuwa na speed kubwa zaidi (like 14.4mbps to 21mbps)
Model hii ndio current kwa sasa ambayo inatumia H+, so itakuwa na speed kubwa zaidi (like 14.4mbps to 21mbps)
8. Letter WCDMA stands for Wide-band Code-division Multiple Access.
Inatumia teknolojia ya 3G ila imeongezewa GSM ambayo inaiongezea speed
ya kusafirisha data na ndiomaana simu nyingi zimeitumia kabla ya kuja
kwa 4G.
So ukiona alama hizo kwenye simu yako maana yake ni kama nilivyozielezea hapo awali.
NB: Nimeongelea kuhusu kbps na Mbps maana yake ni:
Mbps: maana yake ni Mega bits per second yani kiasi cha data kinachoweza kusafirishwa kwa sekunde kwenye internet.
Kbps: maana yake ni kilobits per second, hii ni ndogo kuliko mbps.
i.e. 1 kbps = 0.001mbps
Nafikiri kila mtu atakuwa ameelewa hizo network symbols kwenye simu yake.
But sometime unaweza ukaona alama hizo zinabadilika
badilika kwenye sim yako inakuwa ni kwasababu ya kupanda na kushuka kwa
mawimbi ya internet
So internet signal ikiwa vizuri alama inabadilika to H hadi
H+ na ikiwa low inashuka to 3G had 2G au G, kulingana na version ya simu.
Nafikiri sasa hutamlaumu aliyekuuzia simu kwa kusema haikai 3G, tatizo litakuwa ni la network au technology ya simu yako.
Tuesday, January 12, 2016
Ballon d'Or 2015 award: Messi wins for the fifth time, while Carli Lloyd won the women’s player of the year award
Lionel Messi has
won the 2015 FIFA Ballon d'Or award, scooping the best player in the world
accolade for a record fifth time.
The 28-year-old
claimed the 2015 award - voted for by a panel of journalists, international
coaches and captains - at the annual ceremony in Zurich on Monday evening.
Messi earned
41.33 per cent of the votes, ahead of Cristiano Ronaldo with 27.76 per cent and
Neymar with 7.86 per cent.
Other
• Jill Ellis
wins World Women's Coach of the Year
• Luis Enrique
wins Coach of the Year
• Wendell Lira
wins Puskas Award
• Carli Lloyd
wins Women's World Player of the Year
Source:
http://www.skysports.com/football/news/11095/10126730/lionel-messi-wins-unprecedented-fifth-fifa-ballon-dor-award
Saturday, January 9, 2016
HESHIMA ya Bia.... Kwa wanywaji tu.... Kama uko UNDER 18 PLEASE, DO NOT READ....
Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..
chupa ya kwanza huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo... Na mara nyingi huwa mkimya, pengine huwa anasoma gazeti lake au kwa siku hizi anawasiliana na ndugu na jamaa kupitia simu yake.
chupa ya pili
kimsingi ndipo mazungumzo ya awali na wanywaji jirani huanza na haya
huwa mazungumzo ya busara, yakihusu muelekeo wa ligi mbalimbali, siasa,
idadi za ajali na kadhalika na wakati huu hata takwimu hutolewa zilizo
sahihi....
Mtu anaweza kukutajia wachezaji wote wa ligi daraja la tatu
la huko Ujerumani bila kukosea, hata idadi ya wachezaji wa Yanga bila
kukosea.. Ila wakati huu kama unaanzisha mashindano ya kucheua ni wakati
mzuri kwani bia ya pili huongeza hisia za kucheua.
Bia ya tatu
huanza kumfanya mnywaji aanze kusikia furaha na pia huu huwa wakati
ambapo karanga na korosho huliwa sana.... Pamoja na mazungumzo kuhusu
mpira na siasa, ghafla mazungumzo kuhusu michepuko huanza
kujitokeza.....
Bia ya nne
huanza kusababisha masikio yaanze kupoteza nguvu za kusikia kwani
utaona mnywaji ghafla amepandisha sauti, na ukijumlisha na kuwa baa zetu
huwa na muziki una kelele utadhani waliopo wote wana matatizo ya
kusikia..... bia hii humsaidia kuongea kwa nguvu kushindana na kelele za
muziki.
Bia ya tano
ni hatari kidogo kwani ukiinuka kwenda chooni mara nyingi unarudi
hujafunga zipu......na kipindi hiki ni kibaya kwa wanywaji wa kike maana
unaweza kumkuta akienda chooni akijiangalia kwenye kioo anaanza kulia
peke yake na kulalamika; ‘Mi sipendwi mpaka leo sijaolewa’ au ‘ Mume
wangu sijui yukoje hanijali’
Japokuwa lazima isemwe ukweli ukifikisha bia hii, maisha ni
raha sana unaweza ukaanzisha shoo ya kukata mauno katikati ya baa na
kudai wewe ni mkali kuliko Shilole.
Kuanzia bia ya sita
na kuendelea, chochote utakachosema au kufanya ni wazi kesho yake
asubuhi utajilaumu sana. ....... ...Kuna watu husema ukilewa ndipo
unakuwa mkweli, hivyo basi wakati huu hata bosi wako akitokeza
unamueleza ukweli jinsi alivyo fala na hajui kuendesha kampuni.
Au unasema ukweli jinsi unavyompenda mke wa jirani yako
ambaye mmekaa mnakunywa naye. Kimsingi uwezekano wa kutapika pia upo
karibu na kama umekaa na mchumba wako huu ni muda ambao pia uchumba
unaweza kuvunjika.......
POMBE SIO CHAI
Thursday, January 7, 2016
DAWA YA UKIMWI KUPATIKANA, Spanish Doctors Believe They've Found a Cure for HIV..
While Africans and the world at large ikitapatapa and distressed by the AIDS pandemic, the medical team of spain, have found a method that has been successful healing effect pandemic of HIV from where they took the blood are present in the tubes umbilika which reportedly has the ability to stop diseases properly as advised mothers victim infect his son, in an attempt lililotumia three months, this research is a continuation of research institutions like Harvard and otherwise ....
know more ......
Doctors in Barcelona, Spain, announced earlier this month that they believe they’ve found a cure for HIV, according to the Latin Post. But don’t hold your breath, it's not going to be available overnight.
Similar to the report published by Harvard researchers, the Spanish research team hypothesize that a blood transplant from a donor with a genetic mutation could prevent HIV from entering cells and replicating.
The announcement is based on results of an experimental treatment given to a 37-year-old man who contracted HIV in 2009. The “Barcelona Patient” developed lymphoma in 2012. He received chemotherapy and a transplant of blood from an umbilical cord of a donor who had a genetic mutation that gave the donor a heightened resistance to HIV.
"We suggested a transplant of blood from an umbilical cord but from someone who had the mutation because we knew from 'the Berlin patient' that as well as [ending] the cancer, we could also eradicate HIV," Rafael Duarte, the director of the Haematopoietic Transplant Programme at the Catalan Oncology Institute in Barcelona, explained to Spanish news site The Local.
People with the CCR5 Delta 35 genetic mutation that leaves them without CCR5 cellular receptors, which act like doorways to the cell. HIV uses CCR5 receptors to enter white cells for replication. This heightened resistance to HIV occurs in about 1 percent of the population.
The Spanish medical team sought to replicate the results of Timothy Brown, an HIV-positive man dubbed "the Berlin Patient," who received an experimental bone marrow transplant from a donor with the mutation. Brown had leukemia and HIV but six years later shows no signs of the virus.
The treatment seemed to work, as the Barcelona Patient was HIV free after three months, but unfortunately died due to cancer. The development spurred Spain’s National Transplant Organization to back the world's first clinical trials of umbilical cord blood transplants for HIV patients with blood cancers, according to the Latin Post. Javier Martรญnez, a virologist from the research foundation Irsicaixa, is quoted as saying that while their trials are aimed at helping HIV-positive cancer patients but it could "allow us to speculate about a cure for HIV."
from http://www.hivplusmag.com
Sunday, January 3, 2016
NI MUHIMU KUJUA HAKI ZAKO.... JUA NINI CHA KUFANYA UWAPO MIKONONI MWA POLISI.... SOMA HAPA
1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako.
2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama kama anasema ametumwa na mahakama kukumata, ni haki yako.
3. Askari akikukamata akwambie kwanini anakukamata na anakupeleka kituo gani, ni haki yako.
4. Unaruhusiwa na sheria kukataa kukamatwa hata kutumia nguvu kama hukuambiwa sababu ya kukamatwa.
5. Askari anapokiuka taratibu za ukamataji anageuka na kuwa mhalifu ni haki yako kujikinga naye.
6. Askari haruhusiwi kukuvuta shati, kukukaba koo, kukushika suruali kama hujakataa kukri amri halali.
7. Askari haruhusiwi kuondoka na mtu mwingine baada ya kumkosa mtuhumiwa halisi.
8. Askari haruhusiwi kupekua nyumba ya mtu bila kibali cha kupekua.
9. Askari lazima akuoneshe kibali cha kupekua na ukisome.
10. Kibali kieleze jina la aliyekitoa, kituo kilipotolewa,jina la mtu au sehemu ya upekuzi, au uchanganuzi wa mtu au sehemu.
11. Hairuhusiwi kupekuliwa usiku kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 12 asubuhi.
12. Ni haki yako kumpekua askari kabla hajakupekua ili asipandikize kitu.
13. Usipekuliwa nyumbani bila kuwapo kiongozi wa mtaa.
14. Kila kitakachochukuliwa katika upekuzi lazima kiandikwe na askari aweke sahihi.
15. Mali iliyochukuliwa katika upekuzi lazima ibaki salama.
16. Mwanaume haruhisiwi kumpekua mwanamke na mwamke haruhisiwi kwa mwanaume.
17. Unaruhusiwa kukataa kupekuliwa iwapo taratibu hizi hazikufuatwa.
18. Askari haruhusiwi kukutukana wala kukupiga.
19. Unaruhusiwa kutozungumza lolote mpaka unayemuamini afike uwapo chini ya ulinzi, ni haki yako.
20. Usilazimishwe kuongea au kuandika ambacho hutaki, ni haki yako.
21. Usitoe maelezo bila uhakika yatatumika mahakamani yatakuletea shida.
22. Unaruhusiwa kukaa kimya na usizungumze kitu uwapo chini ya ulinzi.
HIZI ZOTE NI HAKI ZAKO, ZILAZIMISHE USIBEMBELEZE WALA USIZIOMBE.
SHARE UJUMBE HUU KWA WATU WOTE WANAO PENDA UTULIVU NA AMANI
KATIKA KUPAMBANA NA UONEVU NA MANYANYASO YA VYOMBO VYA DOLA PALE AMBAPO
UONEVU NA UKIUKAJI WA SHERIA NA HASA UMBAMBIKIZAJI WA MA KESI YA
UONGO,,,, .
Subscribe to:
Posts (Atom)