Thursday, January 21, 2016

Msukule Dar... Mfanyabiashara Dar akutwa na Msukule... Picha zote na video hapa.....

Mwanamke akutwa ndani ya chemba (sewage) ya Mkazi/Mfanyabiashara Mchagga wa Kibamba aliyejulikana kwa jina la Mtei. Amefikaje? Haikufahamika ila walisikika wananchi wakisema ni msukule.

Njia hizi za kupata pesa kinyama sio nzuri ikizingatiwa kuwa ubinadamu ni zawadi toka kwa Mungu na wote tu sawa tofauti ya kipato ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu.


PICHA NYINGINE ZIMEHIFADHIWA KWA KULINDA UTU


Video:https://www.facebook.com/100003865677537/videos/623034221168761/






MTOTO WA MWENYE NYUMBA AKANA.


Kuna picha zinasambaa na ujumbe unaosema kuwa nyumba iliyoko eneo la Kibamba ya mfanyabiashara Mchagga Mtei wa mabasi imekutwa na msukule, naomba kukanusha uvumi huo kwa niaba ya familia. Mtei wa mabasi hana nyumba Dar es salaam wala hana mtoto yoyote anaeishi Dar es salaam. Hatuelewi ni kwanini wameamua kusambaza uvumi huo iwe kwa sababu ya biashara au kuchafulia ukoo jina, tungeomba mchunguze vizuri habari hizo na pia source ya habari hiyo kama Ni reliable. Mimi Ni ndugu na mjukuu pekee wa mzee Nderasio Mtei (Mtei wa mabasi) ninayeishi Dar es salaam.

Haika Mtei



Akana ushahidi wa picha na vingine kama ilivyoonyeshwa, hatuta ingilia ila si sawa na si tabia nzuri.....

Tuesday, January 19, 2016

The 20 Most Successful Football Managers of All Time


    20. Pep Guardiola
    Barcelona
    La Liga: 2009, 2010, 2011 (3)
    Copa del Rey: 2009, 2012 (2)
    UEFA Champions League: 2009, 2011 (2)
    FIFA Club World Cup: 2009,c 2011 (2)

    Bayern Munich
    Bundesliga: 2014
    DFB Pokal: 2014
    FIFA Club World Cup: 2013

    TOTAL: 12


    19. Albert Batteux

    Stade de Raim
    Ligue 1: 1953, 1955, 1958, 1960, 1962 (5)
    Coupe de France: 1958

    Saint-Étienne
    Ligue 1: 1967, 1968, 1969, 1970 (4)
    Coupe de France: 1968, 1970 (2)


    18. Guus Hiddink

    PSV Eindhoven
    Eredivisie: 1987, 1988, 1989, 2003, 2005,
    2006 (6)
    KNVB Cup: 1988, 1989, 1990, 2005 (4)
    European Cup: 1988

    Chelsea
    FA Cup: 2009

    TOTAL: 12


    17. Louis van Gaal

    Ajax Amsterdam
    Eredivisie: 1994, 1995, 1996 (3)
    KNVB Cup: 1993
    Champions League: 1995
    UEFA Cup: 1992

    Barcelona
    La Liga: 1998, 1999 (2)
    Copa del Rey: 1998

    AZ
    Eredivisie: 2009

    Bayern Munich
    Bundesliga: 2010
    DFB Pokal: 2010

    TOTAL: 12

    16. Helenio Herrera

    Atletico Madrid
    La Liga: 1950, 1951 (2)

    Barcelona
    La Liga: 1959, 1960 (2)
    Copa del Rey: 1959, 1981 (2)

    Internazionale
    Serie A: 1963, 1965, 1966 (3)
    European Cup: 1964, 1965 (2)

    Roma
    Coppa Italia: 1969

    TOTAL: 12

    15. Rinus Michels

    Ajax Amsterdam
    Eredivisie: 1966, 1967, 1968, 1970 (4)
    KNVB Cup: 1967, 1970, 1971 (3)
    European Cup: 1971

    Barcelona
    La Liga: 1974
    Copa del Rey: 1978
    FC Köln
    DFB Pokal: 1983

    Netherlands
    European Championship: 1988

    TOTAL: 12

    14. Tomislav Ivic

    Hadjuk Split
    Yugoslav First League: 1974, 1975, 1979
    (3)
    Yugoslav Cup: 1972, 1973, 1974, 1976 (4)
    Ajax Amsterdam
    Eredivisie: 1977

    Anderlecht
    Belgian Pro League: 1981
    Panathinaikos
    Alpha Ethniki (Greek league): 1986

    FC Porto
    Portuguese Primeira Liga: 1988
    Taça de Portugal: 1988

    Atletico Madrid
    Copa del Rey: 1991

    TOTAL: 13

    13. Marcelo Lippi

    Juventus
    Serie A: 1995, 1997, 1998, 2002, 2003 (5)
    Coppa Italia: 1995
    UEFA Champions League: 1996

    Italy
    World Cup: 2006

    Guangzhou Evergrande
    Chinese Super League: 2012, 2013, 2014
    (3)
    Chinese FA Cup: 2012
    AFC Champions League: 2013

    TOTAL: 13

    12. Bob Paisley

    Liverpool
    Football League First Division: 1976,
    1977, 1979, 1980, 1982, 1983 (6)
    League Cup: 1981, 1982, 1983 (3)
    UEFA Cup: 1976
    European Cup: 1977, 1978, 1981 (3)

    TOTAL: 13

    11. Ernst Happel

    ADO Den Haag
    KNVB Cup: 1968

    Feyenoord
    Eredivisie: 1971
    European Cup: 1970

    Club Brugge
    Pro League: 1976, 1977, 1978 (3)
    Belgian Cup: 1977
    Standard Liege
    Belgian Cup: 1981

    Hamburger SV
    Bundesliga: 1982, 1983 (2)
    DFB Pokal: 1987
    European Cup: 1983

    FC Swarovski Tirol
    Austrian Bundesliga: 1989, 1990 (2)
    Austrian Cup: 1989

    TOTAL: 14

    10. Miguel Muñoz

    Real Madrid
    La Liga: 1961, 1962, 1963, 1964, 1965,
    1967, 1968, 1969, 1972 (9)
    Copa del Rey: 1962, 1970, 1974 (3)
    European Cup: 1960, 1966 (2)

    TOTAL: 14

    9. Udo Lattek

    Bayern Munich
    Bundesliga: 1972, 1973, 1974, 1985, 1986,
    1987 (6)
    DFB Pokal: 1971, 1984, 1986 (3)
    European Cup: 1974

    Borussia Mönchengladbach
    Bundesliga: 1967, 1977 (2)
    UEFA Cup: 1979

    Barcelona
    UEFA Cup Winners’ Cup: 1982
    Copa de la Liga: 1983

    TOTAL: 15

    8. Ottmar Hitzfeld

    FC Aarau
    Swiss Cup: 1985

    Grasshopper
    Swiss Super League: 1990, 1991 (2)
    Swiss Cup: 1989, 1990 (2)

    Borussia Dortmund
    Bundesliga: 1995, 1996 (2)
    UEFA Champions League: 1997

    Bayern Munich
    Bundesliga: 1999, 2000, 2001, 2003, 2008
    (5)
    DFB Pokal: 2000, 2003, 2008 (3)
    UEF Champions League 2001

    TOTAL: 17

    7. Jose Mourinho

    FC Porto
    Primeira Liga: 2003, 2004 (2)
    Taça de Portugal: 2003
    UEFA Cup: 2003
    UEFA Champions League: 2004

    Chelsea
    Premier League: 2005, 2006, 2015 (3)
    FA Cup 2007
    Football League Cup: 2005, 2007, 2015 (3)

    Internazionale
    Serie A: 2009, 2010 (2)
    Coppa Italia: 2010
    UEFA Champions League: 2010

    Real Madrid
    La Liga: 2012
    Copa del Rey: 2011

    TOTAL: 18

    6. Giovanni Trapattoni

    Juventus
    Serie A: 1977, 1978, 1981, 1982, 1984,
    1986 (6)
    Coppa Italia: 1979, 1983 (2)
    European Cup: 1985
    UEFA Cup: 1977, 1993 (2)
    UEFA Cup Winners’ Cup: 1984

    Internazionale
    Serie A: 1989
    UEFA Cup: 1991

    Bayern Munich
    Bundesliga: 1997
    DFB Pokal: 1998

    Benfica
    Primeira Liga: 2005
    Red Bull Salzburg
    Austrian Bundesliga: 2007

    TOTAL: 18

    5. Walter Smith

    Rangers
    Scottish Premier League: 1991, 1992,
    1993, 1994, 1995, 1996, 1997, 2009, 2010,
    2011 (10)
    Scottish Cup: 1992, 1993, 1996, 2008, 2009
    (5)
    Scottish League Cup: 1993, 1994, 1997,
    2008, 2010, 2011 (6)

    TOTAL: 21

    4. Mircea Lucescu

    Dinamo Bucureşti
    Liga I: 1990
    Cupa României: 1986, 1990 (2)

    Rapid Bucureşti
    Liga I: 1999
    Cupa României: 1998

    Galatasaray
    Süper Lig: 2002

    Beşiktaş
    Süper Lig: 2003

    Shakhtar Donetsk
    Ukrainian Premier League: 2005, 2006,
    2008, 2010, 2011, 2012, 2013, 2014 (8)
    Ukrainian Cup: 2004, 2008, 2011, 2012,
    2013 (5)
    UEFA Cup: 2009

    TOTAL: 21

    3. Valeriy Lobanovskyi

    Dynamo Kyiv
    Soviet Top League: 1974, 1975, 1977,
    1980, 1981, 1985, 1986, 1990 (8)
    Ukrainian Premier League: 1997, 1998,
    1999, 2000, 2001 (5)
    Soviet Cup: 1974, 1978, 1982, 1985, 1987,
    1990 (6)
    Ukrainian Cup: 1998, 1999, 2000 (3)
    UEFA Cup Winners’ Cup: 1975, 1986 (2)

    TOTAL: 24

    2. Jock Stein

    Celtic
    Scottish First Division: 1966, 1967, 1968,
    1969, 1970, 1971, 1972, 1973, 1974, 1977
    (10)
    Scottish Cup: 1965, 1967, 1969, 1971,
    1972, 1974, 1975, 1977 (8)
    Scottish League Cup: 1966, 1967, 1968,
    1969, 1970, 1975 (6)
    European Cup: 1967

    TOTAL: 25

    1. Sir Alex Ferguson

    Aberdeen
    Scottish Premier Division: 1980, 1984,
    1985 (3)
    Scottish Cup: 1982, 1983, 1984, 1986 (4)
    Scottish League Cup: 1986
    UEFA Cup Winners’ Cup: 1983

    Manchester United
    Premier League: 1993, 1994, 1996, 1997,
    1999, 2000, 2001, 2003, 2007, 2008, 2009,
    2011, 2013 (13)
    FA Cup: 1990, 1994, 1996, 1999, 2004 (5)
    Football League Cup: 1992, 2006, 2009,
    2010 (4)
    UEFA Cup Winners’ Cup: 1991
    UEFA Champions League: 1999, 2008 (2)
    


    TOTAL: 34



    FIFA Club World[truncated by WhatsApp]

Saturday, January 16, 2016

DARASA LA ALAMA MBALIMBALI ZA MOBILE NETWORKS

Terminologies 2G, 3G, H, H+ au E etc, je maana yake ni nini kwenye network?
Ni speed zinazotumika kusafirisha data kwenye internet ambapo zinatofautiana uwezo kutokana na teknolojia:
1. Letter G stands for GPRS (General Packet Radio Service) na ndio first generation ya mobile phone
Hua inamaanisha spidi ya internet yako ni ndogo sana (86kbps)
technology.
2. Letter E stands for EDGE (Enhanced Data Rates for GSM evolution) hua inamaanisha speed ya internet yako ni ndogo ila ina afadhali kidogo kuliko G (236kbps)
3. Letter 2G (Second Generation) Ni generation ya pili ya mobile phone technology ambayo nayo inatumia GPRS system lakini speed yake ni kubwa kidogo than letter G, (154kbps) ila ni ndogo than letter E yaani ipo katikati ya G na E.
4. Letter 3G (Third Generation of mobile technology) Inatumia UMTS & imebase kwenye GSM system, na ina speed kubwa kuliko hizo (speed yake 386kbps)
5. Letter H stands for HSPA (High Speed Packet Access) Ni muendelezo baada ya 3G ambayo ina speed kubwa (like 3.2 Mbps)
6. Letter H+ stands for enhanced HSPA, Yaani hii ina speed kubwa zaidi ya H kama nilivyoielezea inauwezo wa kutransfer data up to 7.2 Mbps, ndio inayotumika kwenye simu nyingi nowadays.
7. Letter 4G (Fourth Generation of Mobile phone Technology) pia inajulikana kwa jina la LTE (Long Term Evolution).
Model hii ndio current kwa sasa ambayo inatumia H+, so itakuwa na speed kubwa zaidi (like 14.4mbps to 21mbps)
8. Letter WCDMA stands for Wide-band Code-division Multiple Access. Inatumia teknolojia ya 3G ila imeongezewa GSM ambayo inaiongezea speed ya kusafirisha data na ndiomaana simu nyingi zimeitumia kabla ya kuja kwa 4G.
So ukiona alama hizo kwenye simu yako maana yake ni kama nilivyozielezea hapo awali.

NB: Nimeongelea kuhusu kbps na Mbps maana yake ni:
Mbps:  maana yake ni Mega bits per second yani kiasi cha data kinachoweza kusafirishwa kwa sekunde kwenye internet.
Kbps:  maana yake ni kilobits per second, hii ni ndogo kuliko mbps.
i.e. 1 kbps = 0.001mbps
Nafikiri kila mtu atakuwa ameelewa hizo network symbols kwenye simu yake.
But sometime unaweza ukaona alama hizo zinabadilika badilika kwenye sim yako inakuwa ni kwasababu ya kupanda na kushuka kwa mawimbi ya internet
So internet signal ikiwa vizuri alama inabadilika to H hadi H+ na ikiwa low inashuka to 3G had 2G au G, kulingana na version ya simu.

Nafikiri sasa hutamlaumu aliyekuuzia simu kwa kusema haikai 3G, tatizo litakuwa ni la network au technology ya simu yako.

Tuesday, January 12, 2016

Ballon d'Or 2015 award: Messi wins for the fifth time, while Carli Lloyd won the women’s player of the year award

Lionel Messi has won the 2015 FIFA Ballon d'Or award, scooping the best player in the world accolade for a record fifth time.

The 28-year-old claimed the 2015 award - voted for by a panel of journalists, international coaches and captains - at the annual ceremony in Zurich on Monday evening.

Messi earned 41.33 per cent of the votes, ahead of Cristiano Ronaldo with 27.76 per cent and Neymar with 7.86 per cent.

Other
• Jill Ellis wins World Women's Coach of the Year
• Luis Enrique wins Coach of the Year
• Wendell Lira wins Puskas Award
• Carli Lloyd wins Women's World Player of the Year



Source:
http://www.skysports.com/football/news/11095/10126730/lionel-messi-wins-unprecedented-fifth-fifa-ballon-dor-award

Saturday, January 9, 2016

HESHIMA ya Bia.... Kwa wanywaji tu.... Kama uko UNDER 18 PLEASE, DO NOT READ....

Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

Kwa wanywaji wazuri wa bia,
chupa ya kwanza 🍺 huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo... Na mara nyingi huwa mkimya, pengine huwa anasoma gazeti lake au kwa siku hizi anawasiliana na ndugu na jamaa kupitia simu yake.

chupa ya pili 🍺🍺 kimsingi ndipo mazungumzo ya awali na wanywaji jirani  huanza na haya huwa mazungumzo ya busara, yakihusu muelekeo wa ligi mbalimbali, siasa, idadi za ajali na kadhalika na wakati huu hata takwimu hutolewa zilizo sahihi....
Mtu anaweza kukutajia wachezaji wote wa ligi daraja la tatu la huko Ujerumani bila kukosea, hata idadi ya wachezaji wa Yanga bila kukosea.. Ila wakati huu kama unaanzisha mashindano ya kucheua ni wakati mzuri kwani bia ya pili huongeza hisia za kucheua.
Bia ya tatu 🍺🍺🍺 huanza kumfanya mnywaji aanze kusikia furaha na pia huu huwa wakati ambapo karanga na korosho huliwa sana.... Pamoja na mazungumzo kuhusu mpira na siasa, ghafla mazungumzo kuhusu michepuko huanza kujitokeza.....

Bia ya nne 🍺🍺🍺🍺 huanza kusababisha masikio yaanze kupoteza nguvu za kusikia kwani utaona mnywaji ghafla amepandisha sauti, na ukijumlisha na kuwa baa zetu huwa na muziki una kelele utadhani waliopo wote wana matatizo ya kusikia..... bia hii humsaidia kuongea kwa nguvu kushindana na kelele za muziki.

Bia ya tano 🍺🍺🍺🍺🍺 ni hatari kidogo kwani ukiinuka kwenda chooni mara nyingi unarudi hujafunga zipu......na kipindi hiki ni kibaya kwa wanywaji wa kike maana unaweza kumkuta akienda chooni  akijiangalia kwenye kioo anaanza kulia peke yake na kulalamika;  ‘Mi sipendwi mpaka leo sijaolewa’ au ‘ Mume wangu sijui yukoje hanijali’
Japokuwa lazima isemwe ukweli ukifikisha bia hii, maisha ni raha sana unaweza ukaanzisha shoo ya kukata mauno katikati ya baa na kudai wewe ni mkali kuliko Shilole.

Kuanzia bia ya sita 🍺🍺🍺🍺🍺🍺 na kuendelea, chochote utakachosema au kufanya ni wazi kesho yake asubuhi utajilaumu sana.  .......  ...Kuna watu husema ukilewa ndipo unakuwa mkweli, hivyo basi wakati huu hata bosi wako akitokeza unamueleza ukweli jinsi alivyo fala na hajui kuendesha kampuni.

Au unasema ukweli jinsi unavyompenda mke wa jirani yako ambaye mmekaa mnakunywa naye. Kimsingi uwezekano wa kutapika pia upo karibu na kama umekaa na mchumba wako huu ni muda ambao pia uchumba unaweza kuvunjika.......



POMBE SIO CHAI